Vitambulisho Vitambulisho vya staff MGH
Kazi ya kutengeneza vitambulisho vya staff ikiwa inaendelea. Karibuni kwa mahitaji ya Id's mbalimbali za kiofisi/makampuni/hoteli/Ngo's nk. Pia tunafanya kadi za plastic mfanowa atm cards hapahapa infinity stationery. Infinity images 2018.
Comments
Post a Comment