Enzi za sani


Juu kabisa ni toleo la Sani 1986-1987 yalikuea yanatoka mwishoni mwa mwaka mara nyingi. Ingawa miaka ilivyokuwa inakwenda yalikuwa yanatoka mara nyingi zaidi yakiwemo na matoleo mengine ya bongo na tabasamu. Baada ya Bawji kufariki John Kaduma alihamia gazeti la Bongo na kasi yake ilikuwa kubwa alikuwa anachora hadithi za mapicha na katuni za hilo gazeti na akina prince magic

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi