MENU KADI YA LEO

Je wataka hii? menu kadi ya sendoff ya dada yetu Theresia Mathias inayofanyika mbezi garden usiku wa leo. Barikiwa sana dada uanze maisha yenye upendo na mwenza wako. Huduma zetu zinapatikana muda wote karibu tukuhudumie. Infinity cards 2018.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi mchango wa harusi

Kadi ya mchango wa harusi