Tax Invoices za Twesa



Tunadizaini na kutengeneza Invoices kama hivyo na vitabu vingine vinavyotumika katika biashara kwa ajili ya manununuzi na malipo ikiwemo order books, delivery books, receipt books, guest book register, job cards books na vingine vingi. Pia tunatengeneza kutokana na matakwa yako ili uridhike mteja wetu. Huduma ya kuletewa ulipo ipo hata mikoani unaletewa kw gharama kidogo tu ya usafiri. Kwa mahitaji yako piga/whattsapp 0745 393790. Vitabu vya Invoice toka Infinity stationery 2018.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi