Replica of our menu card

Hizi ni menu kadi za harusi mbili tofauti toka mmoja wa ateja aliyeona kazi zetu akazipenda akaomba atengenezewe menu inayofana na moja ya menu tulizowai tengeneza huko nyuma. Hii ni faraja tosha kabisa mteja anapofurahia hivi hayo mengine ni matokeo. Tunakushukuru sana mteja wetu kwa kutupatia hii kazi umetuamini. Hapo chini ni muonekano wa ndani wa hizo menu. Karibuni sana. Kadi toka infinity stationery.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi mchango wa harusi

Kadi ya mchango wa harusi