Muonekano wa dhahabu
Tunasanifu picha ya kawaida na kuitoa kwa muonekano wa dhahabu kama hiyo hapo. Gharama zetu ni ndogo tu kuilingana na utapenda ing'ae kiasi gani na tuiweka ktk frem ndogo au kubwa ukipenda ili kurembesha chumba au sebule yako. KARIBUNI INFINITY ILIYOPO KARIBU NA MBEZI GARDEN HOTEL KWA HUDUMA HIZI NA NYINGINE KIBAO.
Comments
Post a Comment