Je ungependa picha yako iwekwe kwenye category za Infinity images?

Hapa Infinity pia tunaedit picha kwa kuziweka ktk category mbalimbali ikimaanisha picha yako itapendelewa kwa kubadilishwa kabisa background yake mfano wa hiyo hapo na kuongezewa mwanga, clarity, kuondolewa rangi yake na ubunifu mwingine ktk kuifanya iwe ya viwango vya kukutia mshawasha wa kujua itatokaje. HIYO NI KAZI NDOGO KWETU NA NDIVYO VILE TUNAVYOPENDA KUVIFANYA BILA HIYANA KWA AJILI YA WATEJA WETU. KARIBUNI SANA.

Comments

  1. This is one of my my graphical work trying to explore the applications of various tools offered in Ps. Love doing this thing.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi