Miss Nsia- Ai watakuweza?

Haya Miss Nsia watakuweza? mchoro huu umetolewa karibu na jinsi ulivyo kutoka kwenye picha ya rafiki yangu nimpendaye na kuchorwa kiustadi kwa kuanza na fine sketch kisha baadaye kuanza kujaziwa sehemu mbalimbali kuanzia usoni kuufanya ujulikane ni wa nani kushuka chini. Mh na mwisho mahali penyewe patam, hizo shading zilizoifanya ionekane kifotograph zaidi. Moja ya kazi zangu nilizokuwa nafanya miaka hiyo matoleo baada ya matoleo yalikuwa yanatoka. Hapa tunapasha pasha. Bobelo art creation designs kutoka Infinity original hand art designs 2013.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi