Pozi Langu Hiloo-Miss MERRY

Pozi langu hilooo, miss Merry ndani ya studio akila pozi la ukweli. Pic hii imebadilishwa muonekano nikianza na background iliyofumuliwa na kuwekwa nyingine kabisa yenye hadhi na binti mwenyewe, kingine ni hizo nyota zinazoanguka zikiwa zimefanyiwa editing na filtering na kuongezewa outer glowing, ndani yake kukiwa na shining balls.Nyinginezo ni mianga maalum kuongeza uzuri wa pic yenyewe kwa mtazamaji. Toleo lingine la Bright image 2013. Haki zote zimehifadhiwa.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi