MDADA

Mdada kapendeza akila pozi la kiaina, na kutengenezwa kitaaalam kwa nakshi mbalimbali kwenye background nyeusi. Kama jina lenyewe picha hiyo imekolezwa mwanga na kuifanya iwe kipromo zaidi kuliko ualisia wake, hizo ni namna mbalimbali za utoaji wa kazi za Infinity. Toleo lingine la Infinity Bright Image Productions 2013.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi