BRIHHANA WEE UMETOKAJE?

Unajua kuzungusha gurudumu ehh ndo hivyo usiulize maswali mengi, huyo ndo toto Brihhana akilla pozi la utata, utamtaka wewe, na kama haitoshi namuuliza umetokaje? ililvyokuwa kabla na baada ya kazi ya kuipodosha ni siri ya Infinity, we chekelea ulivyopendeza na hiyo ndo kazi yetu si ubabaishaji na kujitamba kihofu hofu tu. Naam, hilo ndo toleo lingine la Bright Image Creations.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi