EPSON PRINTER INAUZWA

Printer aina ya Epson L200 All in One inauzwa Mbezi garden hotel kwa bei poa ya sh 700,000/= tu. Bado mpya kabisa na ina uwezo wa kuprint Ids na cards za aina mbalimbali kwa ubora wa hali ya juu. Muda wake ni mwaka mmoja na hujaisha. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa no hizi 0656 879610 au 0755 930848. Barua pepe bobelo2003@yahoo.co.uk.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi