CANON IMAGE RUNNER 2420 INAUZWA

Photocopy aina ya Canon Image Runner 2420 inauzwa Mbezi Garden Hotel kwa sh 1.5 milioni. Imetumika kidogo sana bado iko kwenye hali nzuri kabisa na inatoa copy safi iwahi sasa pia unaweza kuitumia kama printer. Ina guarantee ya mwaka mmoja na haijamaliza hata miezi sita. Kwa mawasiliano piga no 0656 879610 au 0755 930848. Tuma barua pepe kupitia bobelo2003@yahoo.co.uk/ robertlawere@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi