Posts

Tunaedit picha kwa style zote

Image
Picha zilizosanifiwa kwa vipande vipande. Gharama ni ndogo tu kurembesha chumbani kwako au ktk album lako au cmu yako pale popote upendapo kuweka picha zako. KARIBUNI SANA KUTUTEMBELEA KWA MAHITAJI YENU AU TUWASILIANE KWA NO HIZI 0755 930848/0656 879610. ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU.

Muonekano wa dhahabu

Image
Tunasanifu picha ya kawaida na kuitoa kwa muonekano wa dhahabu kama hiyo hapo. Gharama zetu ni ndogo tu kuilingana na utapenda ing'ae kiasi gani na tuiweka ktk frem ndogo au kubwa ukipenda ili kurembesha chumba au sebule yako. KARIBUNI INFINITY ILIYOPO KARIBU NA MBEZI GARDEN HOTEL KWA HUDUMA HIZI NA NYINGINE KIBAO.

Logo za kampuni

Image
Tunatengeneza logo za namna hii na nyingine nyingi kwa bei poa kabisa. KARIBUNI MBEZI GARDEN KUTUTEMBELEA KWA HUDUMA HIZI NA NYINGINE KIBAO.

Uso wa dhahabu

Image
Tunatengeneza picha kwa kuzisanifu kwa style mbalimbali kama hiyo hapo ya dhahabu. KARIBUNI MJE KUONA NINI TUNACHOFANYA NA KUWEKA ODA ZENU TUFANYE KAZI PAMOJA.

Picha za dhahabu

Image
Tunaedit picha na sura za watu kwa kuitoa ya dhahabu nzito au nyepesi yenye unjano. KARIBUNI MBEZI GARDEN KWA HUDUMA ZETU NZURI TUPO TUWAHUDUMIE.

GOLD FACES

Image
Pure gold appearances at Infinity images.

Even so come Passion feat Kristian Stanfill

Image

Tangazo la Infinity kwa muonekano wa Tv

Image
Unaweza kutengenezewa tangazo lako likaonekana kama la kwenye Tv na ukaliweka ktk bango kubwa kutangaza biashara yako au tukio flani. Sisi hatuchagui hatubagui wateja wote mnakaribishwa.

Tunawatakia wateja wetu mwaka mpya wa 2016

Image
Tunawatakia wateja wetu wapendwa mwaka mapya 2016. Tuanze mwaka mpya kwa amani na baraka za Mwenyezi Mungu. ASANTENI KWA USHIRIKIANO WENU MWAKA ULIOPITA NA TUENDELEE KUSHIKAMANA NA KUFANYA KAZI PAMOJA.

Matangazo ya xmas

Image
Tunatengeneza matangazo maaluum ya sikukuumbalimbali ikiwemo xmas. Tunaweza pia kuprint size yoyote unayoitaka uwatumie wapendwa wako au kuwatakia wapendwa wako heri ya sikukuu ya xams na mwaka mpya 2016. MNAKARIBISHWA KWA HUDUMA ZA NAMNA HII NA NYINGINE NYINGI.

See Yourself Through

Image
See Yourself through. Infinity images.

Infinity image logo

Image
Logo of infinity image created digitally to be used in our coming projects. All texts creations begins here. Infinity images.

Life can't give you more....

Image
Life can' t give you more than what you have! All you have at your disposal will bounce back into your life so tolerate hardships today and enjoy tomorrow. Infinity images.

Life is good

Image
Life is good and precious from God. Enjoy snd live well to the full don' t complicate it. Infinity images.

LIFE

Image
Life is exciting journey. So live it to the full don't care what  other people think about you.

SUCCESS

Image
Success is daring new endevours. Never give up.

Sketch and final drawing of Diamond

Image
The drawing of Diamond Platinum. Sketch above and final shadow illustration. Smart art by bobelo fine art Illustrations 2015.

Complicated human faces

Image
Drawing real faces from actual photos is not easy but is great way of learning curves and structures of peoples faces.

Shadow pencil drawings

Image
Real people drawings on shadow reflections. Bob fine art illustrations.

Heart, Diamond & Long face shapes

Image
Tougher and more tougher drawings of face shapes. Bobelo fine art 2015.