Mkesha wa kukaribisha mwaka 2018

Tukiwa katika mkesha wa kuukaribisha mwaka 2018 usharikani Mbezi Beach jijini Dar es salaam. Uwepo wa Mungu alionekana kwa namna ya ajabu. Tunamshukuru kwa neema yake na upendo aliotuonyesha kwa kumtoa mwana wake pekee Ywesu kristo kubeba dhambi zetu ili tusiangamie bali tupate uzima wa milele. Bwan Yesu asifiwe milele yote. Amina.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi