Tunatengeneza logo za ubora wa juu kabisa

Tunatengeneza logo za biashara mbalimbali za wajasiriamali, makampuni binafsi,taasisi na idara za umma zote. Hatuchagui hatubagui mtu yoyote. Gharama za logo zinaanzia elfu 50,000 logo ndogo ndogo  kwenda juu kutegemeana na vilivyomo(contents) kwenye logo na muda unaotumika kutengeneza logo ya mhusika. KARIBUNI INFINITY IMAGE ILIYOPO MBEZI GARDEN HOTEL KWA HUDUMA HIZI NA NYINGINE KIBAO.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi