Posts

Showing posts from July, 2016

Tunaedit picha za watu na matukio mbalimbali

Image
Tunaedit picha mbalimbali kama hiyo hapo juu kwa gharama nafuu kabisa. Unakuja na picha yako iwe hard copy au soft copy na kutuambia unataka iweje na sisi tunafanya upendavyo. Pia tunaweka picha ktk fremu ukipenda. KARIBUNI INFINITY ILIYOPO KARIBU NA MBEZI GARDEN HOTEL KWA HUDUMA HIZI NA NYINGINE KIBAO.

Tunatengeneza logo za ubora wa juu kabisa

Image
Tunatengeneza logo za biashara mbalimbali za wajasiriamali, makampuni binafsi,taasisi na idara za umma zote. Hatuchagui hatubagui mtu yoyote. Gharama za logo zinaanzia elfu 50,000 logo ndogo ndogo  kwenda juu kutegemeana na vilivyomo(contents) kwenye logo na muda unaotumika kutengeneza logo ya mhusika. KARIBUNI INFINITY IMAGE ILIYOPO MBEZI GARDEN HOTEL KWA HUDUMA HIZI NA NYINGINE KIBAO.