Neno la Leo: Isaya 54:7

Binadamu ni nani hata anihukumu au anisemee maneno mabaya juu yangu au ndugu yangu.Semeni mtakaloweza kusema hukumu ni ya Mungu na tutahukumiwa kwa maneno na matendo yetu. Tujiangalie sana kutokusema maneno ya kukera au kuumiza wengine kwa vile hakuna mtu mkamilifu chini ya hili jua wote tunahitaji neema ya Mungu kila iitwapo leo tufike safari yetu salama. Infinity images 2014

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi