Posts

Showing posts from September, 2014

INFINITY IMAGE CREATIONS BLOG: Neno la Leo: Isaya 54:7

INFINITY IMAGE CREATIONS BLOG: Neno la Leo: Isaya 54:7 : Binadamu ni nani hata anihukumu au anisemee maneno mabaya juu yangu au ndugu yangu.Semeni mtakaloweza kusema hukumu ni ya Mungu na tutahuk...

Neno la Leo: Isaya 54:7

Image
Binadamu ni nani hata anihukumu au anisemee maneno mabaya juu yangu au ndugu yangu.Semeni mtakaloweza kusema hukumu ni ya Mungu na tutahukumiwa kwa maneno na matendo yetu. Tujiangalie sana kutokusema maneno ya kukera au kuumiza wengine kwa vile hakuna mtu mkamilifu chini ya hili jua wote tunahitaji neema ya Mungu kila iitwapo leo tufike safari yetu salama. Infinity images 2014