Posts

Showing posts from November, 2013

Infinity Image Promo

Image
As tough as metal, Infinity Image is always in motion to even higher cosmos in the world of graphics, by designing best graphic images possible with a touch of our tone. Get Infinite and don't let the sky limits you. Infinity 3D Creation Designs 2013.

Miss Emmy

Image
Miss Emmy huyo wa hapa hapa akitabasamu kiulaini. Infinity BI Designs 2013.

Je ungependa picha yako iwekwe kwenye category za Infinity images?

Image
Hapa Infinity pia tunaedit picha kwa kuziweka ktk category mbalimbali ikimaanisha picha yako itapendelewa kwa kubadilishwa kabisa background yake mfano wa hiyo hapo na kuongezewa mwanga, clarity, kuondolewa rangi yake na ubunifu mwingine ktk kuifanya iwe ya viwango vya kukutia mshawasha wa kujua itatokaje. HIYO NI KAZI NDOGO KWETU NA NDIVYO VILE TUNAVYOPENDA KUVIFANYA BILA HIYANA KWA AJILI YA WATEJA WETU. KARIBUNI SANA.

Tunaedit picha kwa category ya ubunifu

Image
Picha iliyosanifiwa iliyoangukia category ya ubunifu na manjonjo yake, vijana mnaopenda hii category karibuni sana hapa ndio mahali pakeeee. Mtatolewa hata uko New York wakati uko hapahapa Bongo au chini ya subway za Tokyo popote pale hatuchagui. HIYO NI KAZI NDOGO KWETU NA NDIVYO VILE TUNAVYOPENDA KUVIFANYA BILA HIYANA KWA AJILI YA WATEJA WETU. KARIBUNI SANA.

Merry Name Writting

Image
Jina la Mwanadada Merry likiwa limeandikwa kwa nakshi, na yale maeffect ya kawaida kwa yeyote anayejua siri ya ps na maaajabu yake.Kazi kama hizi ni matangazo tu ya yale tunayofanya Infinity ukiwa serious na unapenda tufanye kazi njoo mwenyewe au wasiliana nami tufanye kweli. Infinity Text Designs Productions 2013.

Sago Junior Traders

Image
The flayer of Sago Junior Traders made at Infinity image productions. We have specialized in making number of  documents like  flyers, business cards, leaflets and similar documents for public offices, business firms, marketing companies, Advertising firms, individuals and public events banners for entertainment industry from small to big billboards and so on. We are also doing professional image editing enhancement and digital signature writing of all manners. Feel welcomed!