Posts

Showing posts from October, 2013

Bryan Digital Signature

Image
Saini ya kidijitali ya dogo Bryan ikiwa imeboreshwa zaidi, hapa pananishangaza sana jinsi hii pen tool inavyofanya kazi ambayo ingefanywa na kalam za kawaida tulizozoea. Kucheza tu paths na handle zake mpaka uumbe herufi ajabu sana. Endapo ungependa nawe pic yako ipate saini hizi wasiliana nami muda wowote napatikana. Kazi kutoka Infinity Signature Writing Designs 2013.

Nsia Potrait Signature

Image
Nsia Potrait Signature- picha ya rafiki yangu Nsia iliyopigwa Photopoint Mlimani city, nimeipiga saini ya iliyoandikwa kwa pen tool ambayo sikujua kama unaweza kitumia kuandika hata majina, hayo ndo mambo ya kisasa tunaachana na kuandika kwa kalam tunatumia dijito pen na kuandika vile tunavyopenda kuvifanya. Kwa yeyote ambaye angependa aandikiwe saini yake juu km hiyo hapo, wasiliana nami kwa no: 0656 879610/0755 930848 muda wowote uwe na kitu cha kukumbuka maisha yako yote. Original Infinity Signature Designs Productions 2013.

Tunaedit picha za studio piaaaa

Image
Tunaedit vizuri picha ulizopiga ziwe nje mtaani au hata studio kwa kuziongezea vimulimuli kidogo useme WOW!!!!

Ghost Rider and Fire Dragons

Image
Ghost Rider in full swing protected and guided by a monster in attack with Fire Dragons from the sky. The extreme exploration of ocean waves and fire explosions in this movie like poster. Much editing has been done to produce this grafix as, I have always say tools and skills are there to be explored, so don't be afraid to play with them to the full application of them. The exploration goes on. Combinations of Bright Image and Bobelo creation designs  by Infinity  Image Productions 2013.

Picha ya Nsia na Bob

Image
Picha ya mimi na rafiki yangu Nsia ikiwa imebadilishwa background na kuwekwa nyingine iliyochorwa kidijitali ktk software ya ps. Nilitaka nionyeshe kuwa unaweza kutumia tools za ps au Illustartor kuchora karibu kitu chochote badala ya mkono. Kazi hizi na nyingine nyingi zitegemee kuja kutoka Infinity Art Image Creations 2013.

This is the last time by Keane

Image
This is the last time you fall on me song dedicated to my special friend Nsia. From Hopes and Fears Album.

Miss Nsia- Ai watakuweza?

Image
Haya Miss Nsia watakuweza? mchoro huu umetolewa karibu na jinsi ulivyo kutoka kwenye picha ya rafiki yangu nimpendaye na kuchorwa kiustadi kwa kuanza na fine sketch kisha baadaye kuanza kujaziwa sehemu mbalimbali kuanzia usoni kuufanya ujulikane ni wa nani kushuka chini. Mh na mwisho mahali penyewe patam, hizo shading zilizoifanya ionekane kifotograph zaidi. Moja ya kazi zangu nilizokuwa nafanya miaka hiyo matoleo baada ya matoleo yalikuwa yanatoka. Hapa tunapasha pasha. Bobelo art creation designs kutoka Infinity original hand art designs 2013.

BOB GRAPHICS CREATIONS BLOG: Beautiful Woman in Clear Water

BOB GRAPHICS CREATIONS BLOG: Beautiful Woman in Clear Water : See the beautiful woman in clear water, as these  she enjoys swimming in the sea, the pic has been technically edited with merging of two ...

Beautiful Woman in Clear Water

Image
See the beautiful woman in clear water, as these  she enjoys swimming in the sea, the pic has been technically edited with merging of two images.Water exploration graphics. The productions of Infinity Creations designs 2013.

My Love Nsia and Myself

Image
Oh man I love this, turning the photograph of ours into fine art design is all about taking the hand art into next level of graphics art, however this work has not been edited at all apart from light adjustment to make it look sharper and crispier. That's why, I call it photo like hand art to life the only difference is this one is free hand art and the former is actual photo. Feel the art in you this is the place to be for the great artists to bring two worlds at one. Bobelo Art creation designs from Infinity original hand art designs 2013.

Miss Bahati kimtoko

Image
Miss umendeza mwendo wa church au wapii, kazi hii imetolewa kiart zaidi kwa kufanyiwa editing ya image adjustment na kubadilishwa rangi yake halisi na kuifanya ionekane ya kuchora kwa rangi ya mafuta. Hizo touch nyingine ni urembo wa color half tone. Bobelo art creation designs kutoka Infinity Image Productions 2013.

Mambo ya kuelea elea angani

Image
Duh hiii hatari tupu, wanaona rahaaa wenyewe

THE FLOATING HOUSE IN MICHIGAN

Image
This is too much, a floating house what an idea and creativity!

My Nsia

Image
My Nsia, my best friend, my baby, my darling close to ML350. This is just what Ps can do, bring two scenes together at one place and look so close to reality. The pic of my best friend has been selected and pasted into another pic of Mercedes Benz ML350 and merged professionally to make her feel like she stood near the vehicle and her 3D name dropped in front of new image. The productions of Infinity Bright Image 2013.