HAPPY EID MUBARAK ADVERT

Tunatengeneza matangazo ya aina zote kutegemeana na mahitaji yako, unaloliona hapo ni la Iddi El Fitri la Mbezi Garden Hotel. Nawe kama unahitaji tangazo kama hilo hapo juu au bomba zaidi ya hilo liwe vyovyote vile usisiste kuwasiliana nasi kwenye no hizi 0656 879610 au 0755 930848 au uje kabisa tumalize hiyo biashara hatutashindwana.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi