Baby Walda


Ahh baby Waldaa ndani ya blog na vitege vyake akionekana kutokuwa na habari na mpiga picha. Nimejaribu kumtoa kitoto na muonekano ule wa black n' white huku akipigwa na mwanga kwa mbaali upande mmoja na kivuli upande mwingine na nyuma yake nimechagua background ya maua na majani ya miti kizani na macho yake yakitizama mng'ao kwenye miguu yake. Toleo lingine la Black & White kutoka Infinity Image Productions.

Comments

Popular posts from this blog

Kadi ya mchango wa harusi

Kadi mchango wa harusi