RESTA MENU ON WORK...
Kazi nzito ya kutengeneza menu za mbezi garden hotel ikionekana hapo juu katika hatua za organizing ,editing and corrections. Zikiwa tayari tutajionea muonekano wake wote. Tunafanya kazi hizi na nyinginezo za designing hapa infinity images and stationery. Tunapokea oda zenu. Karibuni