Mbezi Garden Bronchure
Muonekano mpya wa bronchure ya Mbezi Garden Hotel. Upande wa nje na wa ndani ikiwa imekunjwa juu ya glass mbele ya background ya mwangaza wa blue. Tunatengenenza brochures za mikunjo mbalimbali kwa namna unayopendelea mteja wetu ukivutiwa nayo basi ni furaha kwetu. Infinity images 2015.