Posts
Showing posts from December, 2013
Logo mpya ya Infinity Image Company
- Get link
- X
- Other Apps
Logo mpya ya Infinity Image Company yenye rangi mbili kuu nyeusi ikiimanisha kujiamini ktk yale tunayofanya na duara jekundu lililobeba ujumbe wa logo kitu kisichokuwa na mwisho kisha na hiyo point katikati, sehemu ya kumaliza shida ya kufanyiwa kazi zako zote. Fika kwetu utatukubali mwenyewe pesa si kitu bila mteja kuridhika.