Posts

Showing posts from February, 2013

Tunaedit picha za mnato kwa nakshi mzuri kabisa

Image
Tunasanifu kwa kupamba picha na kuzing'arisha zaidi ziwe na mvuto kuzitizama kwa ajili ya mteja wetu wa kipekee kabisa. Hutachoka kuziangalia tena na tena. Vijana wale mnaopenda selfie za mvuto cmu janja bado hazitoshi njooni kwetu hamtajutia mtakavyotoka mwaaaaaaa!!!
 

Tunatengeneza matangazo ya mtandaoni

Image
Matangazo ya Mbezi Garden Hotel tunayotengeza Infinity. Karibuni kwa matangazo mbalimbali ya hafla , vipaimara, concerts, matangazo ya bidhaa zako, birthday, sikukuu na mengine mengi. YOTE HAYA TUNAFANYA HAPAHAPA INFINITY IMAGE ILIYOKO KARIBU NA MBEZI GARDEN HOTEL. KARIBUNI SANA.